Kiswahili
Menu

Tala online microfinance
Tala online microfinance

UTANGULIZI

Hii ni Talaonline microfinance, Taasisi binafsi ya utoaji mikopo kwa njia ya Mtandao (online)

OFISI KUU

Β P.O.BOX 6741 Rose Garden road- Mikocheni B, Kinonfoni- Dar es salaam, TanzaniaΒ Karibu na data vision.

Okoa muda na Talaonline
Okoa muda na Talaonline

VIGEZO & MASHARTI

1- Unatakiwa kuwa mtanzania (bara au visiwani) mwenye umri kuanzia miaka 18-65.

2- Unatakiwa kujua kusoma na kuandika vizuri lugha ya kiswahili.

3- Unatakiwa kuwa na kipato angalau Laki Moja (100000/=) kwa mwezi, Ili uweze kumudu marejesho pindi unapokopa.

4-Picha Yako ( passport size) au picha ndefu, zote zinapokelewa.

5-Picha ya kitambulisho chako, Endapo huna kitambulisho chochote hakikisha unakuwa na namba ya NIDA. Unatakiwa kuwa na kitambulisho kimoja kati ya (a): kitambulisho Cha mpiga kura, (b) leseni ya udereva, (c) kitambulisho Cha nida, (d) kitambulisho Cha Mzanzibari, (e) leseni ya biashara, (f) passport ya kusafiria, au cheti chanmasomo.

6-Unatakiwa kuwa na Pesa ya akiba pindi unapomaliza kujaza fomu. Malipo ya akiba ni sharti la muhimu na lazima. Hivyo Ili kuepuka usumbufu usijaze fomu bila ya kuwa na Pesa ya akiba.Tala ipo pamoja na wewe
Tala ipo pamoja na wewe

SABABU KWANINI ULIPE AKIBA KABLA YA MKOPO

Utaratibu wetu sisi Tala, ni sharti la lazima kwa Kila anaetaka mkopo,baada ya kujaza fomu anatakiwa kufanya malipo ya akiba kwa sababu zifuatazo

(A):Malipo hayΓ  huwa kama sehemu ya dhamana ( security ya mkopaji)

(B); Malipo hayΓ  huchagiza mzunguko mzuri wa Pesa ndani ya taasisi kwani Endapo mkopo utatoka bila kuwapo Rejesho ndani ya mwezi mmoja itapelekea upungufu mkubwa wa mzunguko wa pesa kwa kuzingatia kuwa yapo matumizi ya taasisi kwa mwezi kama vile kulipa mishahara watumishi.

Talaonline ni mkombozi wako kiuchumi
Talaonline ni mkombozi wako kiuchumi

VIWANGO VYA MKOPO NA AKIBA ZAKE

Mikopo yetu inatolewa kwa watu wote wenye uhitaji wa mikopo (bara & visiwani).

Mkopo inatolewa kuanzia Tsh Laki tatu (300000/=) mpaka Tsh milioni 6 (6000000/=)

MKOPO WA TSH LAKI TATU (300000/=)

AKIBA πŸ‘‰ unayotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 36000/=

MAREJESHO πŸ‘‰Muda wa kurejesha mkopo huu ni miezi SITA, Kila mwezi utalipa TSh 50000/=

MKOPO WA TSH LAKI NNE (400000/=)

AKIBA πŸ‘‰ Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 46000/=

MAREJESHO πŸ‘‰Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 8 Kila mwezi Utarudisha TSh 50000/

MKOPO WA TSH LAKI TANO (500000/=)

AKIBA πŸ‘‰ Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 56000/=

MAREJESHO πŸ‘‰ Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 10, Kila mwezi Utarudisha TSh 50000/=

MKOPO WA TSH LAKI SITA (600000/=)

AKIBA πŸ‘‰ Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 66000/=

MAREJESHO πŸ‘‰Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 12, Kila mwezi Utarudisha TSh 50000/=

MKOPO WA TSH LAKI SABA (700000/=)

AKIBA πŸ‘‰ Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 76000)=

MAREJESHO πŸ‘‰, Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 14 , Kila mwezi Utarudisha TSh 50000/=

MKOPO WA TSH LAKI NANE (800000/=)

AKIBA πŸ‘‰ Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni 86000/=Β 

MAREJESHO πŸ‘‰ Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 16 , Kila mwezi Utarudisha TSh 50000/=

MKOPO WA TSH LAKI TISA (900000/=)

AKIBA πŸ‘‰ Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 96000/=Β 

MAREJESHO πŸ‘‰ Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 18, Kila mwezi Utarudisha TSh 50000/=

MKOPO WA TSH MILIONI MOJA (1,000,000/=)

AKIBA πŸ‘‰ Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 116000/=

MAREJESHO πŸ‘‰ Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 20, Kila mwezi Utarudisha TSh 50000/=)

MKOOI WA TSH MILIONI MBILI (2,000,000/=)

AKIBA πŸ‘‰ Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 226000/=

MAREJESHO πŸ‘‰ Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 20, Kila mwezi Utarudisha TSh 100000/=

MKOPO WA MILIONI TATU (3,000,000/=)

AKIBA πŸ‘‰ Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 336000/=

MAREJESHO πŸ‘‰ Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 20, Kila mwezi Utarudisha TSh 150000/=

MKOPO WA TSH MILIONI NNE (4,000,000/=)

AKIBA πŸ‘‰ Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 446000/=

MAREJESHO πŸ‘‰ Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 20 Kila mwezi Utarudisha TSh 200000/=

MKOPO WA TSH MILIONI TANO (5,000,000/=)

AKIBA πŸ‘‰ Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 556000/=

MAREJESHO πŸ‘‰ Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 20 Kila mwezi Utarudisha TSh 250000/=

MKOPO WA TSH MILIONI SITA (6,000,000/=)

AKIBA πŸ‘‰ Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 666000/=

MAREJESHO πŸ‘‰ Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 20 Kila mwezi Utarudisha TSh 300000/=

Mkopo chapchap
Mkopo chapchap

NOTE:

Katika marejesho unaruhusiwa kurejesha mapema (kudouble marejesho) kabla ya muda tuliopanga, Endapo utapata Pesa yote na Ili uweze kumaliza Rejesho mapema na Ili uweze kukopa tena.

RIBA KATIKA MIKOPO YETU

Katika mikopo yetu yote Tala tumeweka Riba ndogo ya asilimia kumi (10%) ukilinganisha na muda wa marejesho kwenye mikopo yetu, Hii ni kwa sababu tunakujali wewe mteja wetu na kuthamini uwepo wako kwetu.

Lakini pia fahamu kuwa Pesa ya Riba hupunguzwa Moja kwa moja kwenye Pesa ya akiba utakayokuwa umeweka Ili kupata mkopo ( akiba ni Riba ya mkopo wako utakaochukua).


Karibu tukuhudumie
Karibu tukuhudumie